SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #822 22-03-2023 04:14:10
Question Icon

a.alyeikum swali langu ni kuhusu mirathi mume amekufa ameacha watoto 5 wa kiume na watoto 5 wa kike na ana wake 2 na wazazi wake wote wa mume wameshafariki mgawanyo ukoje?

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 822

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi