Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asalaam alyka kwan saa mbli (insha) ina laka ngap
Kama inamaanisha swala ile inayoswaliwa saa 2 usiku yaani swala ya insha , hii ina rakaa 4.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
nataka kujifunza jinsi ya kuswali na je? rukuu nini
Jee nabii mussa alilelewa na nani?
Asalaam Aleykum warahmatulahi wabarakatuhu, mimi swali langu ni kuhusu Rukuu, ukiwa kwenye Rukuu macho unafaa kuangazia wapi? kunao wanao sema unafaa kuangalia unako enda kusijudu na wengine husema unafaa kuangalia vidole vya miguu zako. ni ipi sahihi naomba kufahamu. Shukran wabillahi tawfiq
Faida ya uislam kushika hatamu ktk jamii
Je ni Sahihi kufunga mwezi wa shaaban katika siku 15 za mwisho
Hmn yurad unao somwa baada ya kusha sali hzo rakaa mbili na kutoa salamu