Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asante kwa elimu je maandazi ni chanzo cha maji
Hapana maandazi sio chanzo cha maji. Maandazi na vyakula vingine mfano wake sio chanzo cha maji.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kwaiyo milija ya uzaz ukiwa umeziba unatibiwa vip unapatiwa daw amaa
Je vitameni E vinaweza kusaidia mwanaume asiyezalisha akaweza kuzalisha?
Je kwa wiki ya Kwanzaa na ya pili ya ujauzito ni lazma kutokwa na majimaji au ute uken na je implantation bleeding ni lazima? Na inatokea kipind cha mda gani cha ujauzito
Dalili za ugonjwa wa kisukari ni zipi?
Je, malaria husababishwa na nini?
Naomba nisaidie kujua kama kuna madhara ya kutumia tangawizi kwa mtu mwenye vidonda vimsvyoanza