Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Assalam aleykum! Me nataka kujua jina kamili la mtume HUD (A. S.)
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 79
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Utajuaje kwamba vidonda vya tumbo vimekuwa sugu?
Naomba msaada mm nahisi kichefuchefu na sitapiki mdomoni mate machungu na kichwa kinauma je xhida ni nn na mimba sina
Shida yangu je matiti yangu yananinyima Raha kabisa yaani sipendi kuvaa brazia kwa mda mrefu Ila kutokana na ukubwa wake inanilazimu nivae tu pindi navyoamka naomba Kama Kuna dawa ambayo inaweza kunisaidia bila madhara ,,sijaolewa bado Wala sijazaa
Je! Mimba ya week moja inaweza kuonekan kwa kutumia kipimo
Habari za saizi nilikuwa naomba kuuliza daktari tezi zangu za shingo zimekua Saiz ya haragwe kwa takribani mwezi lkn hazium shida nini apo
Naomba kujua dawa za kushusha pressure nazipatje ninaitaji ninasumburiwa na pressure