Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asslm alkm?swali:mke wa nabii nuhu aligharikishwa au?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 404
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
asalam aleykum nataka kuhuliza mwanamke mwenye hedhi anaruhusiwa kusoma quran aliyo hifazi kichwan mwake yan bila kushika msahafu
Kueleza wasifu wa malaika
Kama upo kwenye safi Au mstari wa katikati utatokaje ?kwenye safi na watu wana swala?
Kuna Jambo lini ni tatiza ya kutofautisha ibada naعادي kwa mfano kula chakula hii ni ibada Au عادي ?
A'alaykum, Nilioa mke wa pili baadae nikija kumjurisha mke wangu wa kwanza, yeye ajafanya maamuzi ya kuondoka huu mwaka wa 6 sasa na sijampa talaka, hapo kuna ndoa tena?
Marehemu ameacha mke na mtoto miaka 10, wazazi wote baba na mama yake wamefariki mali ya marehemu itarithishwa nani na kwa mafungu gani