Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Baada ya mtu kuasilika anashauliwa mudagani iliaanze tiba ?
Baada ya Mtu kuathirika anatakiwa aanze dawa haraka sana punde tu anapogundulika ameathirika
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nasumbuliwa na acid tumboni inawezakuwa sababu ya mm kutoshika ujauzito??
Nataka kuyua njinzi ya kulinda afya yangu
Je,uteute uliochanganyika na damu kwa mama mjamzito ambaye cku za kujifungua hiyo ni moja ya dalili ya kujifungua au ni tatzo?
Njia za kuzuia pepopunda kwa mtoto
Samahani tarehe 11 mwenz 12 nili toka na damu nyeusi sana na damu mabonge mabonge zili toka siku tatu zikakata nikaja tena kutoka na damu tarehe 8 ya mwenz wa kwanza zili toka siku tano
Sasa Jana tena damu hime aza kutoka tena tatizo nini naomba nisaidie na nina taka mtoto
Je kwamfano nilikuwa kwenye siku zangu nanikafanya mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya Virusi vya ukimwi hapo je inakuwaje