Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Bibi yangu amemaliza almost 2months hajapata cku yake ya hedhi na Hana mimba
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1233
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mbona baadhi husema Kuna aina ya vyakuka hawaruhusiwi Kwa wenye group tofautitofaut!?
Mimi maziwa yalikuwa yanauma ndani ya siku 7 siku ya 13 nimeona damu je.ninamimba
Je ukijitwaharisha usiku alaf uamke kuswali asubuh utoke na vitone vya damu je inaswihi kuswali au hadi ujitwaharishe upya?
Samah doctor nina maumivu chin yakitovu siku za nyuma nilikuwa nakojoa mkojo ambao upo cloud na nyonga inaniuma mwili unajoto kal sielew ni UTI au
Kujaa kwa mate mdomoni kunaxababixhwa na nn Na kujaa kwa ges 2mboni ni dalili ya nin
Samahn mm nko naujauzito lkn vyakula vyote ckuli yaan nkikula natapik hata matunda nayatapik nifany nn ati