Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Smhn ugonjwa wa ukimwi unawez kuambukizwa kutkn na mate
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 991
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kama mayai yapo machache hayakomai uwezo wa kubeba mimba utakuwepo au
Ninamiaka 23 ni mwanamke tatizo langu ni kwamba tumbo linaniuma sana yani kama kunakitu kinanikwangua vile tumbon kunamda linaacha lakinii nikila chakula linaniuma sana yanaa halafu linatulia linakuwa linauma kwa mbalii
Naomb kusaidiwa nime2mia kipimo cha mimba ndani ya wiki 3 kinaonyexha mimba hamna na ninasikia chuchu zunauma na tumbo kujaa je xhida ni nn au vipimo vinadanganya naomb msaada tafadhar
Naulisa ukiwa unakunyua pombe unawesa ambukizwa ukimwi .
Habari niliingia hedhi tarehe 11 nikamaliza tarehe 14 baada yahapo nikakutana na mwenzangu tarehe 20 je naweza kupa mimba
Asante samahan naomba kuuliza kama majimji takiwa yana Toka ukeni nayo pia ni ugonjwa