Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kama mayai yapo machache hayakomai uwezo wa kubeba mimba utakuwepo au
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 301
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Smhn n binti mwenye miaka 21 nna tatizo la kutokwa na maji ukeni kama maji ya kawaida tu na n mengi kias kwamba sometym yanaweza vuja had yakanloanisha nguo ya nje na ndani pia, hayana harufu yoyote, na pia sometym mengine yanakuw ya njano, asa hili tatizo gan docta maan nna hofu sn
kutokwa na uteute mweupe kwa mwanaume haiwezi kuwa dalili ya UTI
Et mayai ya kuchemsha kwa mjamzito n sahihi kula
Niliwahi kufanyiwa operation ya ectopic pregnancy na nikakatwa mrija 1 wa uzazi hapa nna mrija 1 tu wa uzazi ingawa nilibahatika kuzaa mtt1 kwa njia ya kawaida namshkuru Sana mungu nataman kuzaa Tena ila sishiki mimba sijui kwa nn
Habar naomba kuuliza kuharisha kwa zaid ya wiki mbili lakini kwa muda maalum ni dalili ya ugonjwa gani
Mm naisi kizunguzungu nasaidiwaje japo nimefanya udma ya kwanza na aijanisaidia