Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habar doctor mimi ninatumia dawa za pressure 2 years sasa lakn 2023 hii moyo unanienda mbio natembea kidogo tu lakn moyo unanienda ressi sana had nipumzkeee ndo nakaa sawa hata kushuka kitandan kwenda choon naskia hivyo nawa kma mtu aliyekimbia sana had nipumzke ndo nakuwa sawa naomba unisaidie
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1150