Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asante samahan naomba kuuliza kama majimji takiwa yana Toka ukeni nayo pia ni ugonjwa
Yakiwa na harufu ama yanawasha ama yana rangi ya kijani ni ishara ya ugonjwa
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari za kazi mkuu,ninalo swali kuhusu vitamin,k,inafanya kazi gani kwa mwili wabinadam
Nina Miaka 25 ni mwanaume. Tatizo langu ni kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa Hadi kupelekea kushindwa kufanya tendo lenyew hii hutokana na sehemu za Siri (korodani kuuma au kukaza) na kupelekea pia sehemu ya juu ya kupata maumivu pia na tatizo hili limenianza mwaka huu
Mimi ninadalili zote za ujauzito ila nkipima negative sijui nn shda
Hi..dalili ya kukohoa zaid ya wk mbili kwa mwenye kifua kikuu husababisha na nn
Mtuakipata ukimwi atakuwa anajikiaje Yani kiafya kwasikuhio yakwanza
ninapresha ya kushuka je inasababisha kooni kubana