Pata jibu kamili kuhusu swali lako
ninapresha ya kushuka je inasababisha kooni kubana
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1090
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Toka nianze kupata hedhi yangu sijawahi pitisha mwezi sijapata lakin saiv nimeona mabadiliko sijapa hedhi yangu mwezi mmoja toka nimeingia mwezi wa pili tarehe 22 sijapata tena na pia nakuwa najisikia mchovu mwili pia kichefuchefu mara mojamoja baada ya kla chakla sijajua hii ni shida gan naomba mnisaidie
Jemapigo ya moyo kwa mimba changa yanaweza kubadilika ndani ya wiki moja
Ahsante nimesoma makala Je! Michubuko huonekana kwa macho baada ya kufanya tendo la ndoa?
Vidonda vyatumbo hasa uhuma maeneogani, pemben mwatumbo, maeneo yakat kat yatumbo
Swali langu ni je chuchu kuuma inaweza kua ni dalili ya hedhi? Na je uwepo wa chunusi ni dalili ya mimba au hedhi?
Nimeishi na mwenye virusi vya ukimwi miaka minne tumeenda kupima yeye anamaambukizi ya virusi vya ukimwi afu Mimi Sina na nimepima mala mbili