Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mimi ninadalili zote za ujauzito ila nkipima negative sijui nn shda
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 598
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Sawa ila mi natakakujua je hivi vipimo vya hospitali za selikali uwonesha majibu mudagani baada ya mutu kuasilika?
Je overbleeding ni miongoni mwa dalili za HIV??
Vichomi nazo ni dalili za ujauzito
Samahani muudumu naomba unielekeze kuhusu hili swala nilialibikiwa mimba ya mwezi mmoja na nilitokwa na damu ndan ya wikiii sita na nimekaa wiki mbili damu zinatoka tena ivii ni tatizooo aul
Na pia baada ya damuu kukata nilitokwa na ute ute ambao ulikuwa unaniwasha
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 23 naish na mwanamke mwenye umri wa kubeba mimba lakn mpka sasa atuna mtoto na tunaitaj mtoto
Shida yangu mikono inalegea na kukosa nguvu pia kufa ganzi na halafu miguu pia inakosa nguvu na maumivu ya mwili wote hasa kifuani