Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Dalili ya mimba ya siku Moja ni ngan
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 335
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari naomba ushauri nasumbuliwa Sana mwili unaniuma kweli napata joto mwilini kari sana na Koo lote linauna nitumie dawa gani
Habar , samahani nimesoma makala yako ya ugonjwa wa fangasi wa mdomoni na ulimi , kijana wangu namwona anamadoa mekundu kwenye ulimi kama vibalango lakini vidonda hivyo haviumi, dalili hii sikuiona kwenye baadhi ya dalili ukizozitaja, hii nayo ikoje
Daktar kuna kingine kamaa malengee lengee nmkiinqa leo asubh kwa pemben kwa juu ilaa kimevimbaa Wakt was kukaa kinavutaa na kusimama...
Hivi kw mfano tupu mbili zikakutana ya kike na yakiume lkn ile ya kiume ikawa haijazama ndani yaani namaanisha imeekeshwa tu kweny uke bila kuzama ndani ule uume je panauwezekano wa kupata mimba
Ikiwa vipimo vya magonjwa ya zinaa vitafanyika kwa mwanamke hata kabla ya dalili kuonekana nje, majibu huonyesha maambukizi?
Mm ninamavu ya tumbo upande wa kushoto maumivu makali sana nimefanya exry amna shida extsaond amna kitu sijui shida nn