Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ety mwanmke akishapita siku zake za hatari je zinaweza kurudi tena kabla hajapata hedhi nyingine ata kama akikaa miezi miwili
Haziwezi kurudi tena mpaka amalize hedhi yake.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
kama mwanaume amekukojolea na ana virus inaweza kuvipata?
Nina irregular hedh tangu nakua lkn niliambiwa Nina ovarian cyst, homornal imbalance, na mayai hayajakomaa nilipewa dawa za kutumia lkn hazikusaidia
Nauliza hivi umefanya mapendi na msichani Bada ya miezi mitatu upo negative miezi Tano au SITA bado upo saw negative inakuaje hapo
Kuna uwezekano wa mtu kubeba mimba ilihali anatumia (majila)sindano za kuzuia kupata ujauzito
Assalam aleykum! Me nataka kujua jina kamili la mtume HUD (A. S.)
Samahani Mimi siku hii ya leo nzima mdomo wangu Ni mchungu naomba unisaidie nijue sababu Ni nini