Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habalì naomba niuliźe mimi nimeng'atwa na nyoka lakini meno yake hayajatoka
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 267
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je kupataaa naumivu mkali wakati wa kukojoa na pia wakati wa tendo hiloo ni tatizoo gani pls
Naumwaa tumbo Leo siku ya nne na mdomo ni mchungu na mkojo wa njano je inaweza kuwa dalili ya mimba
Haya misutari anayofanyaaa mama mjamzito yanawezaa kuondokaaa Kwa dawa gani au ndo hayaondokaaa tenaaa
Naomba nisaidie kujua kama kuna madhara ya kutumia tangawizi kwa mtu mwenye vidonda vimsvyoanza
Kama hali ya mkoj inasababishwa na madawa wakati mwingine je inachukua mda gani hiyo hali kukata na kurudi hali ya kawaida kukojoa mkojo mweupe tafadhali naomba ushaur doctar
samahan et, kutokwa na upele (ukurutu) nayo nimojawapo ya ugonjwa wa ukimwi