Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Tumbo linapata gas nalinajaa sana. Kunawakati nahisi vitu vinatembea timboni
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 463
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Vp me nina tatizo kupasuka mdom yaan kubabuk
Je kama baada ya kumaliza hedhi nikakutana na mwanaume ndani ya wiki moja nikaanza kujiisi vibaya kichwa kinauma kizunguzungu nidalili pia za mimba
Asante samahan naomba kuuliza kama majimji takiwa yana Toka ukeni nayo pia ni ugonjwa
Nina shida naumwa tumbo upande wa kushoto
Mimi Nina mimba ya miezi 5 lakini Nina tatizo la kutokwa na maji maji ukeni wakati mwingine na damu yenye mabonge mabonge kama mwezi mzima sasa
habr? ni mazoezi gan yanafaa kwa kupunguza uzito?