Pata jibu kamili kuhusu swali lako
habari mimi apa nahisi na ujauzito lakin sina uhakika naomba ushauli wenu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 683
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ninapo fanya mapenzi nitapo taka kukojoa ume unasinyaa
Mzazi wangu anaumwa na miguu magoti hana uteute
Nahitaji tiba ya magoti yaliyo kauka uteute
Tatizo la kutokwa na maji maji mepesi meupe yasiyo na harufu ukeni kama maziwa ni dalili ya ugonjwa gani?
Mim na mume wangu tulienda kupima ospitar turi kutwa na ugogwa wa UTI tuli pewa dawa lakini tuka mariza dozi leo ule ungwa ume rudi tena lakin ana twako na ute kama usaa pia ana washwa jee tatizo nini?
Lkn me najiulizaga swali korona virus na hiv ni virus kuna maemo wanasemaga virus hatibiki Sasa kama hatibiki why wanaweza kutibu korona afu ukimwi hawawez kutibu ? Embu nisaidie dr kama unauwelewa ju ya hilo jambo nalojiuliza
naomba kusaidiwa kujua siku za hatari,