Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari nijins gani yakuandk talaka
Mfano: Mimi Rashid Hamadi Issa leo tarehr 17/2/2023 nimemuacha mke wangu Zawadi Hosseni talaka moja.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Bainisha sifa za dini sahihi amboyo anastahili kufuata
Mm nauliza sual kwann baada ya mtume Muhammad hakuletwa mtume mwengine
Nikiswalia nyumbani swala zote ni sawa tofauti ijumaa
Je mtu akitokwa na upepo yaani kujamba je lazima kutawadha kwanza ndo ashike udhu??
Uislamu wakati wa makhalifa ulipata changamoto nyingi sana ambazo zilipelekea kuwatia khofu waislamu wanafikiria mambo gani yaliopelekea kuondosja changamoto izo
Nauliza kama aujui kusoma Quruani na unaswali kila kipidi cha swala je kunapungufu apo