SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #674 09-03-2023 12:42:01
Question Icon

Habari ya kazi! Samahani nauliza, hivi dalili za Kwanza za maambukizi ya virusi vya ukimwi zinakuwepo kipindi chote Cha mwezi mzima yaani hizo wiki nne, au inakuwaje!?

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 674

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi