SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #368 17-02-2023 14:39:23
Question Icon

Habari zasiku mtaalamu kwanza pole na majukumu Leo nilikuwa na maswali mawili nilitaka kuyafamu mija je dalili za HIV utofautiana kati ya mwanamke na mwanaume?

 

Mbili je mtu alieasilika katumia wembe kunyolea ila hajajikata kutokwa na damu na akatumia mwingine ambae hajaasilika nae hajajikata je akuwa kaambukizwa?

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 368

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi