Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kuna dawa gani ya asili ambayo mtu anaweza tumia akapona fangas vzr?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 825
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nnajisikia tumbo kwa chini maumivi upande wa kushoto mda mwingine kama gumu hvi maumivi yanaenda hadi korodani upande wa kushoto na mshipa ule unaoshikilia korodani ya kushoto unaumaa hadi ngozi ya korodani inakuwa nyepesi hadi inanata kwenye mapaja
Habari samhn mim naon dalil za ujauzito Kuna muda kichef chef minakuja kwa muda usingizi na mstari chin ya kitovu kun mstar mweus kwa mbali lakin nashangaa Leo naziona siku zangu sjui kwanni inakuw hivi
Hbarai,mimi nina swali naomba msahada nilishea tendo na mtu ambae alikuwa na nia mbaya kumbe ni muathirika na baada ya mwezi tulienda kupima lakini mimi nikakutwa mzima na yeye alikuwa na maambukizi na toka hapo sina hamani je hii imekaaje?
Ukiwa na chunusi uso na mwili kuwasha pia sehemu za siri kuwasha after kukuwa na mtu akipimwa HIV after 6 week's hayo majibu inakuwa sawa ukitimia vipimo full medical check up
Ni nini kinachosababisha upungufu wa damu?
Mfano kama n wiki ya tatu hii saaa alafu nina vipele kwenye uso na maumivu ya mwili mara moja moja yanatokea maumivu je hio n yenyewe dalili ya ukimwi