Pata jibu kamili kuhusu swali lako
hbr maumiv y a tumbo kwa juu yanasababishwa na nini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 710
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ni njia zipi za kuboresha mbengu za kiume ili mwanamke aweze kupata mimba??
Nina majimaji yanatoka kwa wingi yaan naweza badilisha chipi hata Mara 3 kwa siku alafu yakitoka yanaganda kwenye chupi hiyo Ni Hali ya kawaida harufu yake ipo Ila sio mbaya kivile. Je ni nini tatizo
Doctor naomba nijue doctor hii ni mala 3 natumia pepu nimekuwa Kama Nina mikosi jee haiwezi pelekea dawa kutofanya kazi na wanasema pepu Ina asilimi 65 ya kuzuia ugonjwa na sio asilimia100 doctor naomba niambie hii iko vp
Samahani nina vipere kwenye uume dawa ya asili ni ipi
Me naomba kuulza ivi kuna siku maalumu ukifanya tendo la ndoa endapo mke atapata ujauzito bc mtot atakuwa wa kiume ipo siku iyo?
Kwa mfano hukushiriki tendo la ndoa lakini ukaja unaingia manii au izo mbegu za kiume kwa bahati mbay je kuna uwezekano wa kupata mimba?