Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hi,Kwa nini chuchu zangu ziko na uchungu Na zinatoka damu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 898
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
chango husababishwa na nini....?na tena kuna dawa yake?
Doctr naomba mxaaada wako nilitumia p2 ucku xaa tatu nakesho take nikaendelea na doz ya dawa nilizokuwa natumia lakin nilivyomeza daw za doz nilitapk dockr naomba uxhauri
LNMP yangu ilikua Ni trh 21/1 mpka sass trh 24 sijaingia je naweza kua Ni mimba? Au nisubir mwez uishe
kutokwa na uteute mweupe kwa mwanaume haiwezi kuwa dalili ya UTI
Doctor habari, samahani Mie Kuna kitu kimeniahtua sijui ninttizo au maumbile sielew, kwenye uke wangu sehemu ya kinembe sijui ndo kinena Kuna kinyama kimetoka yaan Kama kimegawanyika katikati alafu upande mmoja wa kushoto ndo Kama umetoka kinyama Sasa sielew Nini nini
Maziwa kuuma Kwa mbali kuskia gas tumboni na kuwasha kidgo maziwa ni chanzo Cha mimba