Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hya maumivu n yatadumu kwa muda gan au mpaka nijifunguee
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 678
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Balango nayo ni dalili ya ukimwi
Kuharisha ni njia moja ya kutaka kujifungua ni dalili yani
Dr tatizo lingine Ni kwamba nabanwa na mkojo kila muda mabayo Ni kawaida kwa mjamzito Ila Kuna wakati nahisi kibofu kinauma kana kwamba mkojo umejaa Sana Ila nikienda kukojoa natoa mkojo kidogo saana na bado kibofu nahisi kimejaa Hilo Ni tatizo gani
Habari ni vitu gani mgonjwa wa madonda ya tumbo atumie ili kupunguza maumivu
Mm Nina miaka 32 ninamida sasa natumia dawa za ukimwi na cjawahi pata tatizo lolote toka nianze kutumoa na toka nianze kutumia dawa ninazaidi ya miaka SITA Sasa hivi karibuni nimeanza kupata vidonda vya ulimi uja na kuondoka je tatizo linawekua nn
Kwanini ngozi huwasha mara kwa mara na nisehemu ile ile?