Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je anaweza hisi ungumu pemben ya tumbo na maumivu kuzunguka kitovu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 933
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Na juz jmne nilitok km tui .na Leo yalikuwa mepesi kulik y juzi. Na kiuno mda mwengn kinauma.naomba msada
Miyezii tisaaa kamili tenaa tarehe niloandikiwa sptl kujifunguaa sija jifungua mpkaaa asaiv imeniandikiaa tarehe 25 lkn naona bd maumivu makalii tu yakiuno kumaa na kuachiaaa na mguu kumaa tumbo haliniumi lkn kiuona tu na kutokaa maji maji meupee mazito sijajua tatizo nn
Ningeomba kuuliza swali pele vya ukimwi vinakuaje na je vinatoka sehemu gani
Kuna mtu anatumia miwani na bado macho yanamuuma,je atumie dawa gani ,au afanye nini ili kuweza kuondoa tatizo hilo?
Ety mwanmke akishapita siku zake za hatari je zinaweza kurudi tena kabla hajapata hedhi nyingine ata kama akikaa miezi miwili
Mimi nilibeba mimbA mwez wa tisa ila mda huu naona majimaji na mtoto kachuka je nidariri za kujifungua au lha