Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kwanini huruhusiwi kutumia mafuta Kwenye kidonda ulichoungua na maji ya moto
Mafuta yanazuia hewa isiingie ndani na jambo hili sio salama kwa upinzani wa kidonda.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nini huduma ya kwanza kwa mtu aliye dondoshwa na presha ya kupanda
Kwamfano umejamiiana na mtu wiki iliyopita unatakiwa ukae kwa muda gan ili ukapime
Hbr samahi maumivu ya misuli kukazaa, kuuma sehemu ya chin ya tumbo na kiuno itakuwa shida gan hiyo
Natamani kufahamu ya uvaaji condomu na uvuaji mara tu baada ya tendo kuisha
Je mtu mwenye HIV atafanyeje Kwa ajili ya kuimarisha afya yake
Habar, samahan naomba kuuliza, endapo unapata maumivu makali ya tumbo upande wa kulia kwa chini na maumivu hayo unayapata wakati wa hedhi na wakati wa siku za kubeba mimba harafu maumivu hayo yanaambatana na kuunguruma je! Inaweza kuwa nini?