Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je kipimo cha mkojo huonyexha mimb ikiwa na mda gan
Kipimo cha mkojo huonyesha ujauzito ndani ya wiki tatu. Hata hivyobinashauriwa kupima baada ya kuikosa siku zako.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 23 naish na mwanamke mwenye umri wa kubeba mimba lakn mpka sasa atuna mtoto na tunaitaj mtoto
Ninasumbuliwa na fangasi ambao niliwapata baada yakunyonya uke
Nataka kujua dawa na matibabu ya gonoria
Habari nina tatizo la kiungulia
Sjawahi kuumwa fangasi but ndo Mara yangu yakwanza naona Hali hii yakutokwa uchafu ukeni na nia yangu nitiba Mana nimetumia dawa za farmasi lakini wapi uchafu unatoka
Hlw nimesoma nakala yenu nasumbuliwa na tumbo upande wa kushoto kuna muta yanakuja na kupotea