Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nataka kujua dawa na matibabu ya gonoria
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1146
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ety mwanmke akishapita siku zake za hatari je zinaweza kurudi tena kabla hajapata hedhi nyingine ata kama akikaa miezi miwili
Habari Mtaalam, Mimi ni mwanamke ambaye tumetengana na Mumewangu mwaka mzima.Wiki hii alumina nyumbani na tukashiriki tendon la ndoa. Masaa 5 baada ya kushiriki mwili ULIKUWA MCHOVU hadi nikaanza kulala Orsini hadi sasa ni siku ya tatu mwili ni MCHOVU siwezi Tanya chochote.
Habari! Mimi shida yangu ni milija inayotoka kwenye korodani inajaa na kuweka vinundununda.
Hv kwa mimba changa ya mwez 1 homa za uck na homa na kuishiwa nguvu na suluhisho lake lipi
Juzi kuna bonge ya damu ilitoka kubwa kiasi fulan hadi nikaogopa ndo maana nikiwa natafuta msaada
Samahan I doctor mm nilikuwa na mimba ila ilivuja haikutoka je ilikuwa na wiki3 je inatakiwa nikae mda gani nipone au inatakiwa nipime mda gani