Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je kutokwa na majimaji sehemu za siri ni dalili za nn
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 768
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hi,Kwa nini chuchu zangu ziko na uchungu Na zinatoka damu
Naam inawezekan Mtu kupungua uzito kwa sababu ya msongo wa mawazoo??
mm mulishawai kuumwa uti na kupatiwa tiba Ila kwa Sasa Kama sijanywa maji ya kutosha huwa inaniludia na nimechomwa sindano Mara mbili ila nikitibiwa huchukua mwezi harafu inaniludia .je, unanishauri nn Dr.
Mi maziwa yamejaa na yanauma. Ila hii dalili naisikiaga nikikaribia period ila pia nimesex juzi sa sielew hapo ni mimba au period
ivii kika waida mwanamke ndani ya siku tatu dalili gan za mwanzo zinaeza kuwa ni kiashirio cha kuwa anamimba mkuu
Ivi mtu mwenye ukimwi anaweza akatokwa na vidonda vya homa ya usiku??
Vinavytoka pembeni ya mdomo kama vipele Vile vidonda vinatoka kama unakinga mwili wanasema homa inatoka