Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je kuwa namabaka mekund kwenye mdomo ni dalili mojawapo ya ukimwi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1149
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahan mbona mimi nisha tumia dawa sana ila siponi fangas
Samahani docta ukitumia p2 cku ambayo nimefanya mapenzi alafu cku ya tatu pia nikafanya mapenzi na nikasahau kumeza p2 je inaweza kuleta shida
Hv ukishiriki na mtu mwenye ukimwi waweza pata papo kwa papo
Ugonjwa wa kisukari unaweza kutibika?
Pilipili hutowa ujauzito
Habari za muda huu. Naomba kuuliza. Mimi nasumbuliwa na tumbo Tarehe za Hedhi zinapishana mpaka miezi yapishana mwezi naona mwezi sioni nanikiona napata maumivu makali sana pia ujauzito aupatikani na sijaweka kinga yapata miaka miwili sasa lakini amna ujauzito. Ni ilo tu mkuu