Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je naweza kua mjamzito na chuchu zisiume?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1174
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahan unaweza kuuamini vip Kama una ujauzito
Ikiwa mtu amevunjika mkono amewekwa muohogo pindi akitaka kuchukua udhu inakuaje
Naweza kua na upunguf wa nguv za kiume na nikshilik naenda muda mlef mpak mwenzangu anasema anechok wakat mm sijajua haj yang?
Nina miaka ishirin na nne na nijinsia ya kike, nilikuwa na swali kuwa nitatumia dawa ipi kuzuia fangasi ambayo imeleta vidonda ndan ya uke? Maana nikijisafisha naona had damu
Naomba kuuliza kuhusu watu wanaofanya mapenzi kwa mdomo, means kunyonya sehem za Siri,1.wale bacteria au fangus wanaweza kusababisha kansa ya Koo? 2.kama ni ndio utajuaje kama umepata saratani kwa muda huo?3. Kama wapenzi walikua wanFanya hivyo either Mara 3 au 4 alaf wakaacha madhara gan yatatokea? 5. Hatua zipi zichukuliwe Kama Kuna magonjwa yatatokea?
Mie sijapima Kama Nina mimba lakini nina week moja sasa sipo kawaida nikiamka asubuhi najisikia Kama kichefuchefu lakini sitapiki nahisi natumbo Kama linajaa gas