Pata jibu kamili kuhusu swali lako
je ni dua ipi imependekezwa zaidi katika swala hii ya tahajjud
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1060
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Assalaam alaykum warahama tullah, shekh Mimi nataka duwa ya kutosherezwa na Allah katika jambo langu je nitaipataje nataka kui hifazi.
Naweza kupata kama vitabu vingine vya dini ya kiislamu
Je mtu akitokwa na upepo yaani kujamba je lazima kutawadha kwanza ndo ashike udhu??
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatu.
Samahani naomba kufahamu kwa mwanamume alie muacha mkewe kwa talaka tatu nikipi kifannyike ama taratibu gani zinapashwa zichukuliwe ili mwanamume huyo aweze kuishi tena kihalali na alie kua mkewe.
Nina janaba nifanye nini
Yale manii yanaotoka mwishoni mwa haja ndogo yanabatilisha funga?