Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kusuka nywele zauzi ukaunganisha kichwani nimakosa au simakosa
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1260
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Dai lakuea mtume muhammad anafundishwa quran na watu na udhaifu wa madai haya
Asalam alaykum.ninaomba kuulz swali je ukiwa n majosho mawl mfano hedhi n nifasi je utaoga moja Kwa kukusudia majosho yote au utaoga moja moja Kila Josho Kwa kujitegemea
Jee nabii mussa alilelewa na nani?
Swali nan anawajibika kumkosoa imamu katika swala akikosea hasa anaposoma? Wale walio nyuma yake au yeyote makini
Je damu ya vidudu vidogo vidogo ina toa udhu mfano kama damu ya mbu nk
Ass alaykum?naomba kuuliza?jee ibada ya hijjah ilikuwepo kabla ya mtume Muhammad (s,a,w)?