Pata jibu kamili kuhusu swali lako
mafua huchukua mda gani kupona
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 72
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ninammba ila damu inatoka unanisaidiej
Huwa nikiamka asubuh nakuwa n maumivu makali sn y kichw mgongn unauma San nachoka sanaa ata usingz uishii nachokaa sanaa
Mtuakipata ukimwi atakuwa anajikiaje Yani kiafya kwasikuhio yakwanza
Vichomi nazo ni dalili za ujauzito
Habari za jion samahan nlikuwa nauliza maana mm period naingia tarehe 2 ila mpk leo sijaziona na nashikwa na kizunguzungu pia tumbo linakuwa linauma japo si kila mda pia nakua nahis kuna kitu kimekaa kwenye koo km kinataka kutoka ety itakuwa ni dalili ya mimba au?
Je, mtu anaweza pata ujauzito akishiriki tendo siku ya 11 katika mzunguko wake,, na dalili za ujauzito zinaonekana kwa muda gani baada ya kushiriki tendo?? na kutokwa na uteute wenye rangi nyeupe mzito unaweza kuwa dalili ya ujauzito??.