Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ukiwa unanyonyesha utajua aje uko mjamzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1071
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahan me nilikua natumia kidonge cha kuzuia mimba lakin juiz nimekutana na mwanaume kabla ya cku za dawa kuisha ila nahic kama hali ya mimba lakin sijapima
Mimi ni mjazito siku zangu zimekaribia za kujifungua na Niko na shida za saa nyengine ya pumzi shida ni nini
Hello!! Nina swali kwenye mambo ya uzazi. Nilikutana na mwenza wng siku ya hatari na sasa yapata siku ya 12 ila nimekuwa najisikia hamu ya kula vitu tofauti tofauti, naninatoka maji meupe yasiyotoka harufu, matiti nikiyaminya nasikia maumivu ila chuchu hazijabadirika rangi nawala haziumi, ila pia chini ya tumbo upande wa kulia kwangu nakuwa nasikia kitu kinacheza haswa najisikia hiyo hali nikiwa nimelala nimetulia, je hizo zinaweza kuwa dalili za mimba???
Je ukimwi unaambukizwa kwakufanya mapenzi bila kingà làkini kàtika màhusiaño ayi aujawai patikana mchubuko
samahan mi miguu yangu inauma kwenye magoti kwa chini
Habar naomba kufahamu zaid kuhusu dalili za minyoo je pia unaweza kuwa nahici mwili kuwaka moto au haswa kwenye mwanga au joto adi unataman kupulizwa na upepo