Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mambo Mimi naumia chini ya kitovu sikawaida ya ngu mbona?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 761
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Assalam Alyqum Warahmatullah Wabarakatu...
Nimepitia kitabu chenu kimojawapo nikakutana na Vipengele vingi tu lakin kimojawapo n cha STARA kwa Mwanamke.kuwa ajifunike mwili mzima kasoro USO na VIGANJA..
Swali langu..Je kwa Wanawake wanaovaa Madera au Vijora nguo hizo huku mikononi huishia nusu mkono.nao watakuwa njee ya STARA au itakuaje na nini kifanyike.??? Asanten👏🏿
Habar mimi nina tatizo lamifupa ilaninakunywa juice ya Bamia kila siku katakata bamia ninaliloeka kwenye Maji baada ya masa’s kumi Ni nafanya sawa au nakosea naomba muongozo
miaka 23 mm ni mwanamme nina mwenzang ambae tulikutana na tukafanya tendo mara baada ya yeye kutoka edhi siku 2 tu je kuna possible ya yeye kuwa mjamzto
Sorry nlikua naomba kuuliza kuharisha kinyesi cheusi inaweza kusababishwa na nn
Samahani habar za leo nahisi maumivu ya hedhi karibu wiki saizi lakin sioni hedhi tumbo linajaa gesi je tatizo nin
Kuna dawa gani ya asili ambayo mtu anaweza tumia akapona fangas vzr?