Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Maziwa kuongezwka ukubwa bila maumivu nidalili ya mimba
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 175
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Jamn samahan......nataka kujuaa kuwaa kutoa mimbaa na majani ya chai n kwel ???
Habari kwa mtu Ambae Ametumia dawa za ARV vizuri na baada ya kupima ikaonekana wadudu wa HIV hawaonekani Tena kwenye kipimo Anaweza kuacha kutimia dawa za ARV?
Mimi naitwa samson.Nilikuwa nakuomba unisaidie kazi za vitamin zote, a b,c d e k
Habari Doctor pole na majukumu,nna tatizo la kuumwa chini ya kitovu uume unawasha kwa ndani na nikikojoa mkojo unanuka then unatoka na vitu vyeupe vyeupe ukiwa na rangi ya njano lkn nimeenda kupima UTI nikaambiwa sina naomba ushauri Doctor
Samahani ninatatizo la moyo kwenda mbio hasa nyakati za asubuhi nikiwa naamka alafu nikitembea kidogo tu nachoka,je tatizo Hili husababishwa na nini?
Jadili makundi matatu ya wanga , toa mifano kwa kila kundi