Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari Doctor pole na majukumu,nna tatizo la kuumwa chini ya kitovu uume unawasha kwa ndani na nikikojoa mkojo unanuka then unatoka na vitu vyeupe vyeupe ukiwa na rangi ya njano lkn nimeenda kupima UTI nikaambiwa sina naomba ushauri Doctor
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 734