Pata jibu kamili kuhusu swali lako
UNAWEZA KUPIMA VVU MAJIBU YAKAWA NEGATIVE HUKU UMESHAAMBUKIZWA TEYARI?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 178
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hi ,mm nko week 40 sai na naskia uchungu upande wa chini wa tumbo kama maumivu ya periods lakini sitoki chochote inawezakuwa ni nini?
Je kuwa namabaka mekund kwenye mdomo ni dalili mojawapo ya ukimwi
Complication za kutoa mimba changa mfano wiki mbili na zle za mimba kubwa mfano kuanzia miez miwili ni zp
Nin umri wa miaka 25 nilikua na mpenzi nimeseks mara mbili ila alivoenda kupima aligundulika mwasilika je munanisaidiaje kwa hlo Mm nilikua sjajua kama kasha athirika
Je ukosefu wa vitamin E unaweza kusababisha nywele kunyofoka,kizungu zungu,pamoja na kuzubaa yaani kutokua mchangamfu
Leo Ni siku ya pili nimeamka kiuno kinauma he Ni kawaida kwa mjamzito kiuno kuuma au na lenyewe Ni tatizo