Pata jibu kamili kuhusu swali lako
nini husababisha maumivu ya kichwa mara kwa mara
msongo wa mawazo
uti
upungufu wa damu
upungufu wa maji
kutopata muda wa kutosha kulala
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahani nawezaje kujua week za ujauzito
ni sababu Gani wengine hawapat mimbaa na inasababishw na nini
Tumbo kuuma chini ys kitovu
Ninasumbukiwa na uvimbe wa titi nitajuaje kama uvimbe ni wakaida na nimda gani nikae ili nikamuone doctor?
Ugonjwa wa kisukari unaweza kutibika?
MWANAMKE ANARUHUSIWA KUFANYA MAPENZI MWISHO MIEZ MINGAPI COZ BAADHI YA WATU HUSEMA UKIFANYA MPAKA MWISHO MTOTO HUZALIWA MCHAFU KICHWANI