Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ugonjwa wa kisukari unaweza kutibika?
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahan nilikuwa nauliza uti ikikupata huwa na vipele vdogo vidgo vitatoka aman man mi vimenitoka afu kunawasha siyo Sana lakin
mimi naona navidonda vya tumbo ila mbna mwili unaniwasha na kutoka vipele mwilin pamoja na mugongo kuuma naomb msada wako
Ukimu unaweza kuonekana ndani ya siku 23 toka kuambukizwa, kwa kutumia rapid diagnostic test
Mama mjamzito akishajifungua hurudi katika hali ya kawaida
Nasumbuliwa na acid tumboni inawezakuwa sababu ya mm kutoshika ujauzito??
Mimi nimetafuta mtoto takiribani miaka 17, mmpa leo sijapata shida niliambia homon zipo chini, mayai hayapevuki yaani yamefika mwisho naweza pata matibabu mengine umri 45