Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Samahani nawezaje kujua week za ujauzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 146
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je kuumwa na tumbo yaeza kuwa dalili moja wapo ya uchungu
Jaman naomba kusaidiwa nimekunywa majibu kwà lengo la kutoa mimba changa lakini tumbo linaniuma chini ya kitovu,nimeharisha ,it's mzigo sanaa umetoka ukiwa na rangi ya maziwa na tumbo likiwa linauma ni kama vile nataka kuingia period je mimba umetoka au bado
Hello samahan iv tezi dume inaweza sababishwa na ngono zembe
Kwa kawaida hku kwetu M beya gunia la debe 10 huuzwa lakimoja, kipindi Cha maandalz ya kilimo mkulima huomba kukopa elfu 50 na kuahd kulpa gunia Moja la debe 10 wakati was mavno he katika uislamu hl ni halali?
Nauliza docter katika matunda haya yote pamoja na mbegu sijaona binzari manjano pamoja na mbegu za mastaferi kaziyake na mbegu za ukwaju ahsante sana docter kwa darasa lako mwenyezimungu atawalipa
Habari je kuvimba kwa mguu vitamin b itakuwa kwa wingi au imepungua