Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hello samahan iv tezi dume inaweza sababishwa na ngono zembe
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 305
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habariii ninamchumba wangu tatizo lake mbegu zake huwa ni nyepesii sana kama maji shida huwa nin ety
Je ukifanya tendo la ndoa siku ya Kwanza kutoka kwenye siku zako, Unawez kupata mimba
Samahani Mimi Toka juzi Kuna Hali naiyona tumbo linanium alafu cpati amu ya kula kabisa nikila natapika itakuwa ni Nini naomba nisaidie na chuchu zinauma na kuwasha sana
kuna ukweli gani kuwa mtu mwenye damu yenye wesi sana anaweza kuwa na maambukizi ya VVU?
Je ukosefu wa vitamin E unaweza kusababisha nywele kunyofoka,kizungu zungu,pamoja na kuzubaa yaani kutokua mchangamfu
Je mtu ambae haswali tu lakin hamshirikshi Allah je hukumuyake