Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mm nilienda nilifanya ngono siku ya Saba je nimjamzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 246
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
kusinya kwa korodani moja pamoja na kuwa na maumivu nako tezi dume?
Je kama utete unao Toka ukeni unakuwa na njano njano tatizo nn
Je Kama unaskia muwasho tu sehm za sir nayenyew n dalili za ukwimw
Ikiwa naanza siku za hatari nakuwa na joto sana mpaka siku za period nyingne ya mwezi ujao hii inakuwa ni nn? Maaana naweza kuhis Nina mimba lakin hatima yake naingia period hii ni tatizo?
Mambo Mimi naumia chini ya kitovu sikawaida ya ngu mbona?
Pole Kwa majukumu! Samahani Mwanangu ana miezi 8,ila toka juzi hapati haja ndogo,km ilivyo kawaida Jana Hadi Leo kakojoa mara1, Naomba msaada