Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Me naitaji kujua dalili. Ama viashilia vya vvu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 327
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mfano mtu akikanyaga kiwembe cha muathilika alf baada ya masaa mawili bila ya kunawa miguu akakukanya pajan lkn na wewe unakidonda tumboni sasa wakati wakusafisha ukapitisha sabuni ulipokanyagwa na ulipookuwa unakidonda je unaeza pata ukimwi
Mimi ni mjazito siku zangu zimekaribia za kujifungua na Niko na shida za saa nyengine ya pumzi shida ni nini
Hello samahan iv tezi dume inaweza sababishwa na ngono zembe
nasumbuliwa na chuchu za maziwa kuuma wiki ya pili na mgongo kuuma hizi ni dalili za mimba
Maziwa kuuma Kwa mbali kuskia gas tumboni na kuwasha kidgo maziwa ni chanzo Cha mimba
Habari Nina mtoto ana miaka 6 macho yake sehe mu nyeupe yabadiri Rangi kuwa kahawia ....nifanyeje?