Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Me nataka kujua wakati wa kutoa shahada unatamka maneno gani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 250
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari Mimi nasumbuliwa na ganzi kwenye kiganja Cha mkono wa kulia muda mwingine mkono unachoka kabisa sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini
Na dalili zifuatazo tumbo kujaa ges alaf wakati wa kucheua napata shida njaa mda wote naomba msaada
LNMP yangu ilikua Ni trh 21/1 mpka sass trh 24 sijaingia je naweza kua Ni mimba? Au nisubir mwez uishe
sababu ya ugonjwa wa majipu na tiba yake
Habari za jioni mm Nina hali ambayo siilewi ninachoka muda mrefu na mapigo ya moyo yanaenda mbio yaani hata nikitembea umbali kidogo tu hoi
Jamn samahan......nataka kujuaa kuwaa kutoa mimbaa na majani ya chai n kwel ???