Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mm napata maumivu ya tumbo upande wakushoto chini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 632
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je!mtu mwenye ameathitika unaweza kulala nae
Naomba niulize natumia vidonge vya uzazi wa mpango ila nilisahau siku moja lakini sikushiliki siku hiyo nilikuja kushiki siku ijayo lakini nilikuwa nimekumbuka kumeza siku iyo je naweza nikawa na mimba
Nataka kujua dawa na matibabu ya gonoria
Ni namna gani ambavyo mtu anaweza kujikinga na ukimwi
Ninamaswal kuhusu njia inayowez kutumika kutoa mimba ya miezi Saba na gharama zake
Nina mtoto mmoja ana umr wa miaka kumi Sasa toka hp nikaja kupata mimba ikatoka hd Sasa Kila nikijaribu kutafuta mtoto mwingne imeshindikana