SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #829 22-03-2023 16:43:20
Question Icon

Mm nina swali nina skia sehemu ya matiti kama vile kichomi maka vitu vina tembea tembea sijui nini na nime pima mimba kama mala mbili sina sasa shida nini yani nina kosa laa Chuchu azi umi lakini nina skia kama vitu vina tembea tembea kwenye matiti ni saidie

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 829

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi