Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mom nilifanya mapenzi na mdada kufanya mapenzi Mimi nilikua nimetumia Kinga lakini nilipomaliza kufanya mapenzi nikakuta kwenyemwiliwangu amenipaka damu Sasa hapo ndo hofuyangu kubwa kuwa nimepata ukimwi
Endapo atakuwa ameathirika kweli, na hiyo damu akawa amekupaka kwenye sehemu yenye jeraha ama mchubuko, yes upo uwezekano wa kupata maambukizi.
Hata hivyo hatuwezi kusema kuwa umeathirika bila vipimo. Kwani sio kila utakaposex na kuathirika na we utaathirika. Pia kuathirika ambaye anatumia dawa vyema sio sio rahisi kuambukiza kama yule asietumia